Tunda la Kiwi (Chinese gooseberry/Yangtao) huzalishwa zaidi katika nchi ya New Zealand na lilianza kulimwa katika nchi hiyo miaka ya 1906. Tunda hilo liianza kuitwa 'Kiwi' na wamarekani katika miaka ya 1960s. Zipo aina 400 za tunda hilo nchini China ambako ndiko asili yake.
Tunda hili lina vitamins A, Thiamine, B1, Riboflavin, B2, Niacin, Vitamin C, Calcium, Phosphorus, Iron, Sodium, Potassium, na essential amino and faaty acids, enzymes, Carbohydrates, fibre na Proteins.
Tunda la kiwi lina enzyme iitwayo Actinidin ambayo kuvunja vunja proteins katika bidhaa zitokanazo na maziwa (dairy products) na huweza kutumika kulainisha nyama kwa kusugua nyama kwa kipande cha tunda hilo. Hivyo ni murua kwa wale wachoma nyama yaani nyamachoma.
Tunda la kiwi huweza kutumika kama tiba ya magonjwa au matatizo mbalimbali ya kiafya kama ifuatavyo:
- Kuongeza kinga ya mwili dhidi ya virus na kutumika kama Health vitamin tonic. Kwa watu wenye kuhitaji kuongeza kinga ya mwili mathalani wenye maambukizi ya virus vya HIV watengeneze juisi hii: blend kwa pamoja matunda 2 ya kiwi, machungwa 1 - 2, limau nusu kipande, matunda 2 ya apple, matunda ya zabibu yapatayo 12, karoti moja ukubwa wa wastani na kisha miminia matone machache ya Echinacea tincture. Kunywa kila siku.Pia watu wenye virus vya HIV wanapaswa kubadili aina ya vyakula wanavyokula. Waepuke kula vyakula kama nyama na mayai na kula vyakula vya mimea kama karoti, parachichi, cabbage, na saladi pamoja na fresh garlic na unga kidogo wa dried sea weed.
- Kutibu Tatizo la Kukosa Choo (Constipation and Bowel movement enhancer). Ulaji wa matunda 2 - 4 ya kiwi husaidia kupata choo ndani ya kipindi masaa 24 tu.
No comments:
Post a Comment