Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria anaesababisha jino kuuma.
Tambua kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama MACHODIFECE ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, ama kutoboka kutokana na bakteria AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.
Ili kuondoa tatizo hili, ni lazima uwaue hao bakteria na si kong’oa jino kwani wadudu hao walivyo unapong’oa jino moja wao huwa wanahamia jino jingine.
Tiba rahisi ya jino au meno yanayouma bila kung'oa wala kutumia dawa za hospitali tumia mojawapo kati ya hizi hapa:
- Tengeneza na kunywa juisi ya bilinganya (Bringal).
- Jino linalouma au fizi zilizovimba: Ponda ponda tangawizi mbichi kisha itie chumvi. Weka kwenye jino linalouma au fizi ilipovimba.
- Saga majani makavu ya mint kutengeneza unga wake, kisha tia chumvi na weka kwenye jino linalouma.
- Saga karafuu kuwa unga. Weka kiasi cha unga huo kwenye jino linalouma. Pia kama una mafuta ya karafuu, chukua nyuzi za pamba (cotton wool) chovya kwenye mafuta hayo na weka wool hiyo kwenye jino linalouma.
asante mtaalam
ReplyDeleteNkiweka inachukua muda gani kwa jino linalouma kupoa
ReplyDeleteKwa ile ya tangawizi na chumvi
ReplyDelete0712300347 kama dawa unaijua Dada naomba unisaidie na mn
DeleteAhsante mtaalam, maana meno yanatutesa kwakweli
Deleteasante
ReplyDeleteNaumwa sana jino nitumie gangawizi au karafuu kiasi gani ili niweze kungwa
ReplyDeleteHiyo ya tangawizi na chumvi unaweka mara ngapi kwa siku na unatumia kwa siku ngapi kama dozi?
ReplyDeleteJe kama jino halijatoboka na linauma na dawa inatakiwa kwenye jino lililotoboka
ReplyDeletena je visiki vinavyoumampk mishipa
ReplyDeleteShida ya hawa ndugu zetu wanablog wanafungua blog yenye mambo mengi mazuri na yenye manufaa kwa jamii baadae wanaziacha blog zao bila kuzifatilia kujua wasomaji wana maoni gani au hata wanaziacha bila kuziendeleza na kuongezea mada zengine zenye faida.
ReplyDeleteKwamfano kama blog hii Ndugu yetu Philipo Zabuli ameachiwa maswali na wafuasi wake yanayohusu tiba ya meno lakini mpaka leo hii hamna aliyejibu maswali yao.
Acheni kupata shida. Mm ninadawa nzuri sana ya kutibu jino. Huts ng'oa andaa pesa yako na inatibu haraks imepitia maabara. Mpunjijuma@gmail.com
ReplyDeleteDaaaa! yawezakua kwel ila mimi meno mawl yalioteana sa pale katkat ya jno moja na jngne ndo kumeleta shida kunauma sana je? tiba yaweza kua ka zilizo orodheshwa hapo juu?
ReplyDeleteDawa nzuri ya jino ambalo halijatoboka
ReplyDeleteChukua mizizi ya mmea unaoitwa ndulele au wengne huuita mtunguja au ntula kisha ioshe miziz yake kuondoa udongo kisha ichemshe kwenye maji baada ya kuchemka maji na miziz shusha kisha acha mpka yawe ya vuguvugu halafu chukua tawi ama stem ya mmea huu kisha tengeneza kuwa mswaki wa mti kisha piga mswaki huu kwa kutumia maji Yale ya vuguvugu,,,,tumia mara mbili kwa siku pia utaona mabadiliko pale tu utakapoanza kutumia,,,tumia kwa muda wa cku tano hata kama utaona umepona
,,,,shukran
Dawa nzuri ya jino ambalo halijatoboka
ReplyDeleteChukua mizizi ya mmea unaoitwa ndulele au wengne huuita mtunguja au ntula kisha ioshe miziz yake kuondoa udongo kisha ichemshe kwenye maji baada ya kuchemka maji na miziz shusha kisha acha mpka yawe ya vuguvugu halafu chukua tawi ama stem ya mmea huu kisha tengeneza kuwa mswaki wa mti kisha piga mswaki huu kwa kutumia maji Yale ya vuguvugu,,,,tumia mara mbili kwa siku pia utaona mabadiliko pale tu utakapoanza kutumia,,,tumia kwa muda wa cku tano hata kama utaona umepona
,,,,shukran
Asante sana
DeleteNi kweli zote hizo zinafaa lakini chamsingi ni kuzingatia afya ya kinywa. Ukija kwangu lazima nikupe elimu ndo upate dawa.
ReplyDeletesa tumuamini nan??????????????
ReplyDeleteMm jino langu lina shimo sili silali maumivu kwa sana ntumie nn hapo
ReplyDeleteMm jino langu lina shimo sili silali maumivu kwa sana ntumie nn hapo
ReplyDeleteJaman wenye blog mjitahidi kufuatilia maswali ya waty
ReplyDeleteMimi ninajino limetoboka na linauma sana nishatumia vidonge wap nisahidien ndg zng
ReplyDeleteEnter your comment...kitu cha mhimu hapo ni usafi wa kinywa pia naamini kuwa kila dawa iliyotajwa hapo juu ukiitumia vizur unaweza pona kabsa
ReplyDeleteMimi meno yanauma na mengine nishawahi kutoa maumivu mpaka katika sikio hasa msimu wa baridi nifanye dawa ipi
ReplyDeleteJuice ya bilinganyi unaingiza na kitu gani au unasaga bilinganyi tu
ReplyDeleteNakwajino lililo toboka
ReplyDeleteKutana na mtaalamu wa mitishamba anatibu ugumba ...kukuza uume kukuza shape hips na makalio...kupata mimba pacha ..matibabu ya jino bila kung'oa . Miguu kuwaka moto..pumu tb...kifafa...mpigie 0744903557 tanga
ReplyDelete