Miili yetu inaathiriwa na taka sumu (toxins) kutokana na vyakula tunavyokula, mabaki ya vyakula mwilini baada ya chakula kuyeyushwa na sumu zilizopo katika mazingira tunayoishi au kufanya kazi. Sumu hizi huendelea kuongezeka kiwango kadri muda unavyopita na hatimaye kupatwa na magonjwa makubwa kama vile shinikizo la damu, miguu kuuma, saratani, nk.
Dalili za watu wengi wenye matatizo yatokanayo na mwili kulemewa na sumu mwilini ni hizi:
- Tatizo sugu la choo kigumu (constipation)
- Kichwa kuuma kwa muda mrefu,msongo wa mawazo,hasira za mara kwa mara,ukosefu wa usingizi nk
- Misuli kuuma sana na uchovu usio ambatana na dalili za msingi za magonjwa ambukizi kama malaria UTI nk
- Tumbo kujaa gesi
- Vichocheo vya kike kuvurugika na kupelekea kupata ugumba
- Kukosekana na nguvu za kiume
- Kutopungua uzito hata pale unapukuwa unafuata mlo sahihi
- Sukari,presha kutoshuka bila kujali upo kwenye matibabu
- Allergy na vyakula mbalimbali na mafua ya muda mrefu
- Magonjwa sugu ya ngozi kama pumu ya ngozi,psoriasis,vertiligo nk
Inaweza kuwa hauna dalili hizo lakini ni busura kujua kuwa upo katika mazingira hatarishi na inaweza kuwa ukawa na kiwango flani cha sumu hizi ambapo kiwango tu kinachohitajika kuleta dalili hakijafikiwa,kikifikiwa dalili utaziona.
Nina habari njema kwako mpendwa. Tunayo Chai ya Ajabu (Detox Tea) yenye faida tiba mbalimbali mwilini kama hizi:
- Hutoa(flush out) taka sumu mwilini kupitia figo. Umewahi kusikia tatizo la figo kufeli yaani kushindwa kufanya kazi? Tatizo lilianza na mlundikano wa taka sumu kwenye figo.
- Hutibu tatizo la choo kigumu au kukosa choo na chakula kushindwa kuyeyuka mwilini (Poor digestion).
- Hutibu maumivu ya viungo na maumivu ya miguu au miguu kuwaka moto.
- huepusha kupatwa na saratani (Cancer).
- Husaidia kuondoa tatizo la kukosa usingizi (insomnia).
- Hushusha blood pressure (BP) iliyopanda
- Hutibu maumivu ya tumbo kwa watoto.
- Hutibu maambukizi ya kibofu na njia ya mkojo, kama vile UTI.
- Huchochea afya ya mfumo moyo na mishipa ya damu (cardiovascular system).
- Hutibu tatizo la tumbo kujaa gesi (bloating)
- Ina antioxidants na bioflavonoids nyingi sana.
- Haina caffeine.
Bei ni Nafuu Sana Kulinganisha na Faida zake Lukuki.
Nipigie kwa simu: +255 688 30 88 40
Harrah's Lake Tahoe - MapyRO
ReplyDeleteHarrah's Lake 충주 출장마사지 Tahoe. 안산 출장마사지 Lake Tahoe - Stateline. Directions. 755 South Lake Tahoe Blvd. 김제 출장안마 Stateline, NV 89449. Driving Directions. Stateline, 사천 출장샵 NV 89449. 공주 출장안마